Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

DUA KUMAYL – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu ambamo ndani yake hakuna dua tu, bali pia kuna tafsiri ya kiswahili ya dua yenyewe na mambo mengine mengi yanayohusiana na dua hii ikiwemo namna ilivyopatikana, masharti ya kuzingatia katika usomaji wake nakadhalika…

Tafadhali bofya link¬†https://drive.google.com/file/d/1l8opQrerLn7OIdEH2ESu-Tuxur2-rzE6/view?usp=sharing kupakua…

Kazi ya kuandaa kitabu hiki imefanywa na Mkuu wa Tabligh Sheikh Msabaha Mapinda na Sekretariat ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT).