Huenda na wewe umekuwa ukijiuliza swali hili, Kwa nini tunaswali huku tukitumia lugha ya kiarabu? Kwa nini tusitumie lugha zetu za asili? Maswali haya ni miongoni mwa yaliyojibiwa kwenye kijitabu hiki.
Kitabu hiki kimeandikwa na Ahmad Hussein Sheriff katika lugha ya kiingereza na baadae kutarjumiwa na Sekretarieti ya Bilal Muslim Mission of Tanzania katika lugha ya Kiswahili.
Bofya link https://drive.google.com/file/d/1_B2DUs9VRk4G8eHeKLBkRJgmzihWgsNt/view?usp=sharing kupakua