Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

MUNGU WA UISLAM – PAKUA SASA

Duniani kuna dini kadhaa, na zote zinaimani tofauti kuhusu uwepo Mungu na wapo pia ambao hawaamini kabisa juu ya uwepo wake (Mungu). Kwenye kitabu hiki mambo kadhaa yamejadiliwa ikiwemo uwepo wa Mungu mwenyewe, dhana ya uwepo wa Mungu kutokana na jamii mbalimbali, dhana ya uwepo wa Mungu kulingana na mafundisho ya Uislam na mambo yamhusuyo…

Bofya link https://drive.google.com/file/d/1Kc2fw568J15MON4_RItgSH8zRcQcabPt/view?usp=sharing kupakua

Kitabu hiki kimeandikwa na Allamah Sayyid Saeed Akhtar Rizvi na kimetarjumiwa na Maalim Dhikiri Kiondo na kwa mara ya kwanza kitabu hiki kilitoka mnamo mwaka 1980 kikiwa na ISBN NO. 9976 956 38 X