Kutokana na utandawazi na mabadiliko ya kitamaduni katika maeneo tofauti ya ulimwengu upendo baina ya watu wa si tu wale wa jamii tofauti lakini hata wa jamii moja unatajwa kushuka (kupungua), kila mtu huwa anajitazama yeye kwanza kisha wengine. Bibi Fatima (a.s) kama ilivyo ada ya watu wa familia ya