Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

KUMBUKUMBU YA KUZALIWA BIBI FATMA (A.S) – NEWSLETTER

Kutokana na utandawazi na mabadiliko ya kitamaduni katika maeneo tofauti ya ulimwengu upendo baina ya watu wa si tu wale wa jamii tofauti lakini hata wa jamii moja unatajwa kushuka (kupungua), kila mtu huwa anajitazama yeye kwanza kisha wengine.

Bibi Fatima (a.s) kama ilivyo ada ya watu wa familia ya Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w) amekuwa akiishi kwa kuyatanguliza maslahi ya wengine kabla ya maslahi yake binafsi… Kusoma zaidi tafadhali bofya link

https://drive.google.com/file/d/1eXHqoiLbX1aHdpHKN8be9wCvcmm1eVpy/view?usp=sharing

Zaidi kuhusu wasifu na maisha ya Bibi Fatma (a.s) kwa ujumla tafadhali pakua kitabu WASIFU WA HADHRAT FATMA (A.S.) kupitia link https://drive.google.com/file/d/10yAWnY4s9WGbnKlr_4I1wUDzqq5GtsyE/view?usp=sharing