Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

A’AMALI ZA KUFANYA KWENYE MWEZI WA RAMADHANI – PAKUA SASA

Kijitabu hiki kimekusanya baadhi ya dua za kusomwa kila siku katika mwezi wa Ramadhani na utaratibu wa A’amaali za Lailatul Qadri.

Kitabu hiki kimekusanywa na kuandaliwa na Sheikh Swahib Rashid na kimepangwa kwenye copmyuta na Ndugu Rajabu Ngwame na kimetolewa na Bilal Muslim Mission of Tanzania (Haki zote zimehifadhiwa).

Kitabu hiki kinapatikana dukani Bilal Makao makuu na kwenye tovuti ya Taasisi bure kabisa.

Bofya link kupakua >> https://drive.google.com/file/d/1RVa3C4RQaadGiaHZmyjWR3TrCWTdgBam/view?usp=sharing