Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

All Posts by admin

UISLAM – PAKUA SASA

Uislam kama dini nyingine zilizopo ulimwenguni una misingi yake ambayo husaidia kuitambua dini husika na kuitofautisha na dini nyingine. Katika kitabu hiki imeelzwa kwa kina misingi (Itikadi/Mizii) ya Uislam kulingana na mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w), Sunna na Qur-an na Maimamu. Ikumbukwe kuwa Mwenyezi Mungu (S.W.T) amethibitisha kupitia maneno yake

Read More

MUNGU WA UISLAM – PAKUA SASA

Duniani kuna dini kadhaa, na zote zinaimani tofauti kuhusu uwepo Mungu na wapo pia ambao hawaamini kabisa juu ya uwepo wake (Mungu). Kwenye kitabu hiki mambo kadhaa yamejadiliwa ikiwemo uwepo wa Mungu mwenyewe, dhana ya uwepo wa Mungu kutokana na jamii mbalimbali, dhana ya uwepo wa Mungu kulingana na mafundisho

Read More

DUA KUMAYL – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu ambamo ndani yake hakuna dua tu, bali pia kuna tafsiri ya kiswahili ya dua yenyewe na mambo mengine mengi yanayohusiana na dua hii ikiwemo namna ilivyopatikana, masharti ya kuzingatia katika usomaji wake nakadhalika… Tafadhali bofya link¬†https://drive.google.com/file/d/1l8opQrerLn7OIdEH2ESu-Tuxur2-rzE6/view?usp=sharing kupakua… Kazi ya kuandaa kitabu hiki imefanywa na Mkuu wa

Read More

VITABU VYOTE VYA WASIFU (HISTORIA) ZA MAASUMIIN 14 – PAKUA SASA…

Maasumiin (Watu waliotakasika) hawa ni watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) ambapo wametajwa pia kwenye Qur-an, “Hakika Mwenyezi Mungu anataka kukuondoleeni uchafu watu wa nyumba (ya Mtume) na (anataka) kakutakaseni sana sana”. (33:33). Mtukufu Mtume Muhammad (s.aw.w) kabla ya kufikwa na umauti ametuasa kushikama na watu wa nyumba yake,

Read More

MILAD-UN-NABI HAWZATU BILAL

Alhamdullillah, kwa neema ya Mwenyezi Mungu Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) imefanikiwa kufanya Sherehe Maalumu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kipenzi chetu, Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). Sherehe hizo zimefanyika Hawzatu Bilal, Temeke Dar es salaam na kuhudhuriwa na wakuu wa bodi, Mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa mkoa wa

Read More

SEMINA ELEKEZI KWA MUBALLIGHINA WAPYA

Alhamdullillah, kwa neema ya Mwenyezi Mungu Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) ikiwa Hawzatu Bilal, imefanikiwa kuendesha semina elekezi ya siku moja kwa Muballighina wapya ambao wanatarajiwa kuanza kazi kwenye vituo walivyopangiwa haraka iwezekanavyo. Semina hiyo ililenga kuwapa nasaha Mubalighina juu ya

Read More

TAARIFA YA MACHAPISHO MAPYA YA VITABU

Salam alykum, mzigo mpya umeingia dukani #bilalbooks miongoni mwa vitabu vipya ni hivi vilivyoandikwa na Tijani Samawi na kutarjumiwa na Sheikh Msabaha S. Mapinda. Vitabu vingine vipo vikiwemo vya Maasumin #watukufu 14. Fika Dukani kwetu ujipatie nakala yako bure kabisa!Tupo mtaa wa Libya karibu na kituo cha mabasi ya mwendokasi

Read More