Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

A’AMALI ZA KUFANYA KWENYE MWEZI WA RAMADHANI – PAKUA SASA

BILAL YAADHIMISHA MAZAZI YA IMAM MAHDI (A.F.S)

Vituo vya Bilal kote nchini vimefanya maadhimisho ya kukumbuka mazazi ya Imam wa zama zetu, Mahdi (a.f.s) kwa namna ya kipekee ambapo mbali na kufanya majilis mbalimbali pia michezo, hususani mpira wa miguu ilitumika kuufiksha ujumbe wa Imam. Vituo mbalimbali vya Bilal hususani Bilal Pwani na Kusini pilianzisha ligi maalumu

Read More

MSKITI WA UDOE WAFUNGULIWA BAADA YA KUFANYIWA MABORESHO

Alhamdullillah, tumefanikiwa kufungua Msikiti wa Udoe baada ya kufanyiwa maboresho. Hafla ya ufunguzi wa msikiti iliambatana na maadhimisho ya kumbukumbu ya mazazi ya Imam Hussein, Hadhrat Abbas na Imam Ali Zainul Abidiina (a) waliozaliwa katika mwezi kama huu (Shaaban) Mwenyekiti wa Africa Federation (AFED) Alhajj Shabiri Najafi ndiye aliyekuwa mgeni

Read More

ZIARA YA VIONGOZI WA BILAL TANZANIA IRAQ

Uongozi wa Bilal Muslim Mission of Tanzania ukiongozwa na Mwenyekiti wa BMMT, Alhaj Hussein Karim, Makamu Mwenyekiti, Alhaj Abdul Wahid Mohammed, Mkuu wa Tabligh Alhaj Sheikh Msabaha Shabani na Afisa Mtendaji Mkuu wa Bilal, Br. Hafidhi Mansour walifanya ziara katika miji mitakatifu ya Kadhmiyya, Samarra, Karbala na Najaf. Wakati wa

Read More

KWA NINI SWALA ISWALIWE KWA LUGHA YA KIARABU – PAKUA SASA…

Huenda na wewe umekuwa ukijiuliza swali hili, Kwa nini tunaswali huku tukitumia lugha ya kiarabu? Kwa nini tusitumie lugha zetu za asili? Maswali haya ni miongoni mwa yaliyojibiwa kwenye kijitabu hiki. Kitabu hiki kimeandikwa na Ahmad Hussein Sheriff katika lugha ya kiingereza na  baadae kutarjumiwa na Sekretarieti ya Bilal Muslim

Read More

MAULIDI, SI BIDA, SI HARAMU – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu, kazi iliyofanywa na Sheikh Abdillahi Nassir na kutolewa chini ya Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Kenya, na hapa kimechapishwa tena chini ya Bilal Muslim Mission of Tanzania. Kwenye chapisho hilo, imeelezwa maana ya Maulidi, na kuchambuliwa hoja mbalimbali juu ya kwa nini zinafanyika Maulidi… Bofya

Read More

MUHAMMAD NABII WA MWISHO – PAKUA SASA…

Moja katika ya Mizizi (Msingi/Itikadi) ya dini ya Kiislamu ni kuamini juu ya uwepo wa Manabii ambao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu hapa Ulimwenguni. Kwa ujumla wake kuna manabii 124,000 wakianziwa na Adam (a.s) hadi Mtume Muhammad (s.a.w.w). Lakini kutokana na tofauti za dini na madhehebu kumekuwa na kutokubaliana juu

Read More