NAFASI ZA MASOMO YA KIISLAMU KWA NJIA YA POSTA NA MTANDAO Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) inakutangazia fursa ya kujiunga na Masomo ya Kiislamu yanayotolewa kwa njia ya Posta au Mtandaoni (Online). Fursa hii ipo wazi muda wote, kwa watu wa kada zote kutoka popote ulimwenguni. Read More