Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

BOOKS

KWA NINI SWALA ISWALIWE KWA LUGHA YA KIARABU – PAKUA SASA…

Huenda na wewe umekuwa ukijiuliza swali hili, Kwa nini tunaswali huku tukitumia lugha ya kiarabu? Kwa nini tusitumie lugha zetu za asili? Maswali haya ni miongoni mwa yaliyojibiwa kwenye kijitabu hiki. Kitabu hiki kimeandikwa na Ahmad Hussein Sheriff katika lugha ya kiingereza na  baadae kutarjumiwa na Sekretarieti ya Bilal Muslim

Read More

MAULIDI, SI BIDA, SI HARAMU – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu, kazi iliyofanywa na Sheikh Abdillahi Nassir na kutolewa chini ya Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Kenya, na hapa kimechapishwa tena chini ya Bilal Muslim Mission of Tanzania. Kwenye chapisho hilo, imeelezwa maana ya Maulidi, na kuchambuliwa hoja mbalimbali juu ya kwa nini zinafanyika Maulidi… Bofya

Read More

MUHAMMAD NABII WA MWISHO – PAKUA SASA…

Moja katika ya Mizizi (Msingi/Itikadi) ya dini ya Kiislamu ni kuamini juu ya uwepo wa Manabii ambao ni wajumbe wa Mwenyezi Mungu hapa Ulimwenguni. Kwa ujumla wake kuna manabii 124,000 wakianziwa na Adam (a.s) hadi Mtume Muhammad (s.a.w.w). Lakini kutokana na tofauti za dini na madhehebu kumekuwa na kutokubaliana juu

Read More

UISLAM – PAKUA SASA

Uislam kama dini nyingine zilizopo ulimwenguni una misingi yake ambayo husaidia kuitambua dini husika na kuitofautisha na dini nyingine. Katika kitabu hiki imeelzwa kwa kina misingi (Itikadi/Mizii) ya Uislam kulingana na mafundisho ya Mtume Muhammad (s.a.w.w), Sunna na Qur-an na Maimamu. Ikumbukwe kuwa Mwenyezi Mungu (S.W.T) amethibitisha kupitia maneno yake

Read More

MUNGU WA UISLAM – PAKUA SASA

Duniani kuna dini kadhaa, na zote zinaimani tofauti kuhusu uwepo Mungu na wapo pia ambao hawaamini kabisa juu ya uwepo wake (Mungu). Kwenye kitabu hiki mambo kadhaa yamejadiliwa ikiwemo uwepo wa Mungu mwenyewe, dhana ya uwepo wa Mungu kutokana na jamii mbalimbali, dhana ya uwepo wa Mungu kulingana na mafundisho

Read More

DUA KUMAYL – PAKUA SASA…

Hili ni chapisho maalumu ambamo ndani yake hakuna dua tu, bali pia kuna tafsiri ya kiswahili ya dua yenyewe na mambo mengine mengi yanayohusiana na dua hii ikiwemo namna ilivyopatikana, masharti ya kuzingatia katika usomaji wake nakadhalika… Tafadhali bofya link https://drive.google.com/file/d/1l8opQrerLn7OIdEH2ESu-Tuxur2-rzE6/view?usp=sharing kupakua… Kazi ya kuandaa kitabu hiki imefanywa na Mkuu wa

Read More

VITABU VYOTE VYA WASIFU (HISTORIA) ZA MAASUMIIN 14 – PAKUA SASA…

Maasumiin (Watu waliotakasika) hawa ni watu wa nyumba ya Mtume Muhammad (s.a.w.w) ambapo wametajwa pia kwenye Qur-an, “Hakika Mwenyezi Mungu anataka kukuondoleeni uchafu watu wa nyumba (ya Mtume) na (anataka) kakutakaseni sana sana”. (33:33). Mtukufu Mtume Muhammad (s.aw.w) kabla ya kufikwa na umauti ametuasa kushikama na watu wa nyumba yake,

Read More