Tukiwa tunaelekea kwenye kufunga mwaka wa masomo 2021, ni fursa ya kutambua kazi kubwa iliyofanywa na wanafunzi pamoja na waalimu wao katika kipindi chote cha mwaka kupitia tukio maalumu la Annual Day. Kwa neema ya Mwenyezi Mungu tumefanikiwa kufanya tukio hili kubwa katikati ya wiki hii tunayoenda kuimaliza, ambapo awali