Welcome to Bilal Muslim Mission of Tanzania (Charitable Organization)
CALL US NOW +255 745 111 150
DONATE NOW

SEMINAR & EVENTS

BILAL YAADHIMISHA MAZAZI YA IMAM MAHDI (A.F.S)

Vituo vya Bilal kote nchini vimefanya maadhimisho ya kukumbuka mazazi ya Imam wa zama zetu, Mahdi (a.f.s) kwa namna ya kipekee ambapo mbali na kufanya majilis mbalimbali pia michezo, hususani mpira wa miguu ilitumika kuufiksha ujumbe wa Imam. Vituo mbalimbali vya Bilal hususani Bilal Pwani na Kusini pilianzisha ligi maalumu

Read More

MSKITI WA UDOE WAFUNGULIWA BAADA YA KUFANYIWA MABORESHO

Alhamdullillah, tumefanikiwa kufungua Msikiti wa Udoe baada ya kufanyiwa maboresho. Hafla ya ufunguzi wa msikiti iliambatana na maadhimisho ya kumbukumbu ya mazazi ya Imam Hussein, Hadhrat Abbas na Imam Ali Zainul Abidiina (a) waliozaliwa katika mwezi kama huu (Shaaban) Mwenyekiti wa Africa Federation (AFED) Alhajj Shabiri Najafi ndiye aliyekuwa mgeni

Read More

MILAD-UN-NABI HAWZATU BILAL

Alhamdullillah, kwa neema ya Mwenyezi Mungu Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) imefanikiwa kufanya Sherehe Maalumu ya kumbukumbu ya kuzaliwa kipenzi chetu, Mtukufu Mtume Muhammad (s.a.w.w). Sherehe hizo zimefanyika Hawzatu Bilal, Temeke Dar es salaam na kuhudhuriwa na wakuu wa bodi, Mgeni rasmi Sheikh Mkuu wa mkoa wa

Read More

SEMINA ELEKEZI KWA MUBALLIGHINA WAPYA

Alhamdullillah, kwa neema ya Mwenyezi Mungu Taasisi ya Bilal Muslim Mission of Tanzania (BMMT) ikiwa Hawzatu Bilal, imefanikiwa kuendesha semina elekezi ya siku moja kwa Muballighina wapya ambao wanatarajiwa kuanza kazi kwenye vituo walivyopangiwa haraka iwezekanavyo. Semina hiyo ililenga kuwapa nasaha Mubalighina juu ya

Read More