Kijitabu hiki kimekusanya baadhi ya dua za kusomwa kila siku katika mwezi wa Ramadhani na utaratibu wa A’amaali za Lailatul Qadri. Kitabu hiki kimekusanywa na kuandaliwa na Sheikh Swahib Rashid na kimepangwa kwenye copmyuta na Ndugu Rajabu Ngwame na kimetolewa na Bilal Muslim Mission of Tanzania (Haki zote zimehifadhiwa). Kitabu